Posted in Dainų žodžiai SHANGWE ZA PASAKA LYRICS Naimba shangwe za pasaka aleluya, mfalme amefufuka aleluya. Kwa wimbo huu nawatakia wote haleluya njema na sikukuu hii ya pasaka ikafanyike baraka kwetu sote. Haleluya bwana amefufuka.